
Halotel Yazindua Miss Halo: Mfumo wa ChatBot wa Kipekee Kuimarisha Huduma kwa Wateja
Halotel akiwa ni kinara katika mawasiliano Tanzania, ikitoa huduma mbalimbali ikiwemo huduma za kupiga simu, SMS, intaneti, na suluhisho za data. Kwa kujitolea kwa ubunifu na kuridhika kwa wateja, Halotel inajitahidi kutoa huduma za ubora wa juu na teknolojia ya kisasa kwa wateja wake duniani kote. Halotel, mtoa huduma anayeongoza katika sekta ya mawasiliano, ni…