
Unafunga na una kisukari? Zingatia haya
Katika kipindi hiki cha Ramadhani kwa Waislamu na Kwaresima kwa Wakristo, waumini wengi wanatamani kufunga kama sehemu ya ibada yao. Hata hivyo, kwa wagonjwa wa kisukari, kufunga kunaweza kuwa changamoto kubwa kutokana na athari za mabadiliko ya sukari mwilini. Mwongozo wa kufunga kwa usalama kwa wagonjwa wa kisukari, unategemea mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia. Kabla…