WANYAMAPORI WAPAMBA SIKU YA MISITU DUNIANI

    Na John Mapepele  Kwa mara ya kwanza  katika historia ya maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani ya mwaka huu  hapa nchini yanayofanyika katika viwanja vya Saba Saba Mjini Njombe  Wizara ya Maliasili na Utalii imeandaa maonesho maalum ya mnyororo wa thamani wa sekta ya misitu pamoja na Wanyamapori. Kwa vipindi tofauti wakikagua maandalizi…

Read More

Waziri Ulega ‘awafyatua’ watumishi mizani

Dodoma. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amewasimamisha kazi watumishi wa mizani waliokuwa zamu katika mizani kutoka Tunduma, Mkoa wa Songwe, hadi Vigwaza, Mkoa wa Pwani, kupisha uchunguzi. Agizo hilo limetolewa leo, Alhamisi, Machi 20, 2025, na Waziri Ulega, ambaye ameunda timu ya wataalamu kuchunguza tuhuma zinazowagusa watumishi hao waliokuwa zamu Machi 13, 2025. Hatua hiyo…

Read More

Joto la urais Tanzania lazidi kupanda

Dar es Salaam. Kumekucha. Joto la urais wa Tanzania na Zanzibar limeanza kupanda katika baadhi ya vyama vya siasa kwa baadhi ya makada kutangaza nia au kuchukua fomu ya kuomba uteuzi wa kuwania nafasi hiyo ya juu. Tayari baadhi ya waliotangaza nia ya kuutaka urais kupitia vyama vyao, wameshaweka wazi vipaumbele vyao endapo watapewa ridhaa…

Read More

Rais Samia mgeni rasmi kuapishwa Rais wa Namibia

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi katika Jamhuri ya Namibia kesho Ijumaa Machi 21, 2025 kuhudhuria sherehe za uapisho wa Rais mteule wa nchi hiyo, Netumbo Nandi-Ndaitwah. Rais Samia amealikwa kama mgeni rasmi na anatarajia kuhutubia kwenye sherehe hizo za uapisho zitakazofanyika sambamba na maadhimisho ya miaka…

Read More

Walio sekta isiyo rasmi waanza kusajiliwa

Dar es Salaam. Wakati kutanua wigo wa wawalipa kodi ikiwa moja ya jambo linalopigiwa chapuo, Serikali imeanza kuwasajili watu wanaofanya shughuli zao katika mfumo usiokuwa rasmi. Hiyo inajumuisha wafanyabiashara, wazalishaji, wachuuzi na watoa huduma mbalimbali waliopo nchini kupitia tovuti maalumu ya Vibindo Tanzania. Vibindo Tanzania ni jumuiya inayokusanya vikundi 748 kutoka maeneo mbalimbali nchini ambapo…

Read More

Benki ya NBC Yaandaa Hafla ya Futari kwa Wateja wake Dar es Salaam, Mwanasheria Mkuu Asisitiza Taasisi za Fedha Kuheshimu Imani za Wateja.

 Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw Hamza Saidi Johari jana aliongoza mamia ya Waislamu ambao ni wateja wa benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwenye hafla fupi ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo huku akisisitiza umuhimu wa taasisi za fedha nchini kuzingatia mahusiano na huduma zinazo heshimu sheria, imani na misingi ya dini za wateja. Hafla…

Read More