
Kampeni ya UEFA Priceless: Chanja Kijanja, Shinda na Ufurahie Fainali za UEFA na Mastercard ya Benki ya Exim
Benki ya Exim Tanzania, kwa kushirikiana na Mastercard, wamezindua rasmi Kampeni ya UEFA Priceless, mpango kabambe unaolenga kuhamasisha matumizi ya Exim Mastercard huku ukiwapa wateja fursa ya kushinda zawadi ya kipekee. Kampeni hii, itakayodumu hadi Aprili 30, 2025, itawazawadia watumiaji wa Mastercard safari ya kifahari iliyolipiwa kikamilifu kwenda Amboseli, Kenya kwa ajili ya kushuhudia mechi…