
Tarura yajenga madaraja 400 ya mawe nchini
Dar es Salaam. Ili kuboresha mtandao wa barabara za vijijini na mijini, Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (Tarura) unatumia mbinu mbalimbali, ikiwemo ujenzi wa madaraja ya mawe, ambapo gharama yake ni nafuu, ikiokoa hadi asilimia 80 ya gharama. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi, Machi 20, 2025, na Mhandisi Mshauri wa Tarura, Phares Ngeleja,…