
AKILI ZA KIJIWENI: Tumeshtukia wajanja dili la Sowah
YULE Jonathan Sowah ni ingizo muhimu sana kwa Singida Black Stars katika dirisha dogo lililopita kutokana na kasi yake ya kufumania nyavu akimfunika hadi straika aliyemkuta Elvis Rupia. Namba hazidanganyi bhana kwani Sowah katika mechi saba alizocheza ameshafunga mabao saba kwamba ana wastani wa bao moja katika kila mchezo wa Ligi Kuu Bara sasa kupinga…