Bank of Africa Tanzania yadhamiria kuwezesha Wanawake nchini

Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa Tanzania, Esther Maruma (kushoto) akizungumza katika mkutano wa kuchochea kasi ya maendeleo ya Wanawake (Accelerate Women Summit 2025) uliofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni, katikati ni ni Mkurugenzi wa Trademark Kanda ya Africa Mashariki na Kati, Monica Hangi na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Yono, Scolastika Kevela. Mkurugenzi…

Read More

VETA yaweka mkakati ya maboresho ya mifumo ya elimu ya mafunzo ya Ufundi stadi-Dkt.Abdallah

Mkurugenzi wa Elimu ya Mafunzo ya Ufundi Stadi kwenye mamlaka wa VETA Dkt.Abdallah Shaban akizungumza kwenye kongamano maalum la Maadhimisho ya Miaka 3O la VETA linaloendelea katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere (JNICC), jijini Dar es Salaam.  Wanafunzi wakipata maelezo kuhusiana na mifumo ya umeme walipotembelea sehemu ya maadhimisho ya miaka 30…

Read More

Rais wa Somalia anusurika kifo bomu la Al Shabab

Mogadishu. Kundi la Al Shabab nchini Somalia limekiri kuhusika kwenye shambulio la bomu lililomlenga Rais wa nchi hiyo, Hassan Sheikh Mohamud. Kwa mujibu wa Reuters tukio hilo limetokea Machi 18, 2025 ambapo wanamgambo hao walishambulia msafara wake wakati ulipokuwa ukienda uwanja wa ndege Mogadishu. Taarifa za maofisa waandamizi wa Serikali na jeshi wameiambia Reuters Mohamud…

Read More

JITOKEZENI KUJIANDIKISHA – DC MPOGOLO.

  MKUU wa wilaya ya Ilala,  mkoani Dar es salaam, Edward Mpogolo ameshiriki zoezi la kujiandikisha katika maboresho ya Daftari la kudumu la  mpiga kura Kata ya Ilala, mtaa wa Karume.   Mpogolo amefika Mtaa wa Karume,  majira ya  asubuhi na  kuungana na  foleni ya wananchi wa mtaa huo ili kuhakikisha anaboresha taarifa zake katika daftari…

Read More

Aliyembaka bibi wa miaka 68 jela miaka 30

Arusha. Tamaa mbaya, ndivyo unavyoweza kusema kilichomkuta mkazi wa eneo la Chemchem wilayani Kondoa Mkoa wa Dodoma, Rashid Kimolo, aliyembaka bibi mwenye umri wa miaka 68. Kama haitoshi baada ya kumaliza kumfanyia bibi huyo ukatili huo, inadaiwa alilala mtupu bila kuvaa nguo  kitandani kwa bibi huyo. Kwa mujibu wa maelezo, bibi huyo alitoka nje na…

Read More