Ahoua ataweza kuivunja rekodi ya Kagere?

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua anaongoza orodha ya wafungaji wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 12, huku timu hiyo ikisaliwa na mechi nane kufunga msimu na kuwa na kibarua kizito cha kuifikia rekodi iliyowahi kuwekwa na Meddie Kagere akiwa anaitumikia timu hiyo. Kagere aliandika rekodi ya kuwa nyota wa kigeni aliyefunga mabao…

Read More

Vita ya Ligi Kuu Bara kuhamia Ivory Coast Leo

Kenya, ikiwa na kiu ya pointi ili kurekebisha kampeni yao ya kufuzu kwa Kombe la Dunia la 2026, inakutana na Gambia kwa mara ya kwanza katika historia leo mjini Abidjan, Ivory Coast. Mechi hiyo ya kufuzu kwa Kundi “F” itachezwa leo kuanzia saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Stade Alassane Ouattara wenye uwezo wa kubeba…

Read More

TUTAKAMILISHA MIRADI YOTE – DC MPOGOLO

Katika kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inaleta tija kwa wananchi wilayani Ilala, Mkoani Dar es salaam, Mkuu wa wilaya hiyo Edward Mpogolo ameagiza viporo vyote vikamilike.  Mkuu huyo wa wilaya ya Ilala, ametoa wito huo katika siku ya kwanza ya ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo kwenye sekta ya Afya, elimu na miundombinu ya…

Read More

Waandaji wa vitabu vya elimu kwa Wakulima watakiwa kuzingatia mpango wa uandaaji wake

       Na: Calvin Gwabara – Morogoro.  Imeelezwa kuwa Mipango sahihi na uandaaji wa vifaa vya mafunzo ina mchango mkubwa katika kuhakikisha ujifunzaji mzuri na uhaulishaji wa maarifa kwa wakulima. Prof. Athman Kyaruzi Ahmad kutoka Idara ya Ugani wa Kilimo katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) akizungumza na Wanafunzi. Hayo yamebainishwa na Prof. Athman Kyaruzi…

Read More

Mwanamke akutwa amefariki ‘gesti’ akiwa amefungwa kitambaa usoni

Mwanza. Mwanamke mmoja ambaye bado hajafahamika, amekutwa amefariki dunia huku akiwa amefungwa kitambaa usoni  katika nyumba ya kulala wageni eneo la Usagara, Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa iliyotolewa jioni ya jana Jumatano  Machi 19, 2025  imeeleza kuwa  mwanamke huyo alikutwa amefariki dunia kwenye chumba namba tatu katika…

Read More

MARUFUKU KULIMA KATIKA BONDE LA MAGORE – DC MPOGOLO

   Mkuu wa wilaya ya Ilala, Mkoani Dar es salaam, Edward Mpogolo amepiga marufuku shughuli zote za kilimo katika bonde la magore kibeberu kata ya Mzinga.  Hatua hiyo ya kupiga marufuku shughuli zote za kibinadamu katika bonde ilo imekuja baada ya adha ya kukatika kwa daraja na kukata mawasiliano ya pande mbili.  Mpogolo, ameeleza kuwa…

Read More

AGRISPARK yawajengea uwezo Wanafunzi namna ya kutambua mahitaji ya wakulima

  Na: Calvin Edward Gwabara – Morogoro. Wanafunzi wa mafunzo katika mradi wa AGRISPARK wametakiwa kuhakikisha kuwa vitabu vinavyoandaliwa kwa ajili ya wakulima lazima viwe vinaeleweka kirahisi, Elimu yake inatekelezeka, na vinapatikana kwa urahisi kupitia utambuzi mzuri wa walengwa wa vitabu hivyo kwa kuzingatia  kutumia lugha rahisi, mifano inayofaa, na vielelezo ili kuongeza uelewa na…

Read More