
Kanda ya Ziwa ilivyopindua meza mapato ya halmashauri
Kabla ya mwaka 2022 Kanda ya Dar es Salaam ilikuwa ukiongoza katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya halmashauri nchini, ikiziacha mbali kanda nyingine tano. Hata hivyo, mwaka 2023 ulikuja kivingine baada ya Kanda ya Ziwa kujinasua kutoka nyuma na kusimama kileleni katika orodha ya kanda zenye makusanyo makubwa ya mapato ya halmashauri. Kanda ya…