WANANCHI WAOKOA MILIONI 25 ZILIZOTOLEWA NA TASAF

Na Mwandishi wetu -Dodoma Wakazi wa kijiji cha Mnenia kilichopo wilayani Kondoa Mkoani Dodoma,wameokoa sh milioni 25 ya fedha zilizotolewa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari ya Mnenia iliopo Wilayani Kondoa Mkoani Dodoma. Fedha hizo zimeokolewa,baada ya wakazi wa kijiji hiko,kushiriki ujenzi huo kwa kuongeza nguvu…

Read More

Mfaransa kuamua kesi ya Yanga CAS

UONGOZI wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) umeipa ruhusa Yanga kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kupinga uamuzi wa kuahirishwa kwa mchezo wao dhidi ya Simba uliokuwa uchezwe Machi 08. Yanga inaona uamuzi huo haujaitendea haki ikidai hakufuata kanuni na ulilenga kuibeba Simba iliyotangaza kutokuwa tayari kucheza kwa vile ilizuiwa kufanya…

Read More

RAYVAN CHUI AZINDUA PROMOSHENI YA KULA SHAVU

STAR wa Muziki nchini Tanzania Rayvan maarufu Kama Chui amezindua promosheni mpya ya “Kula shavu” kupitia Kampuni ya mchezo wa Kubashiri ya Pigabet. Akizungumza na Wanahabari Leo Jijini Dar es Salaam Chui amesema Kampuni hiyo ya Ubashiri inawapa nafasi kwa watakaojisajili kwa mara ya Kwanza kwa kutumia Kodi ya “chuo” watapata Bashiri za bure zenye…

Read More

Wadau watofautiana wahitimu elimu ya juu, kwenda Veta

Dar es Salaam. Mjadala wa wahitimu wa vyuo vikuu kwenda kupata ujuzi vyuo vya ufundi stadi (Veta) bado haujapoa. Wadau mbalimbali wameuendelea wakichambua kwa mitazamo tofauti. Msingi wa mjadala huo ni ushauri alioutoa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionesha umuhimu wa wahitimu wa vyuo vikuu wakiwamo wenye shahada kwenda kujiunga Veta kusoma ujuzi. Mwanzoni mwa wiki…

Read More