Serikali yaongezwa muda kujitetea kesi ya kura ya maoni

Tabora: Mahakama Kuu Masjala Ndogo Tabora imesogeza mbele tarehe ya usikilizwaji wa awali wa shauri la kura ya maoni kuhusu upatikanaji wa Katiba mpya. Shauri hilo la maombi mchanganyiko namba 3965/2025 limefunguliwa na mwanasheria, Alexander Barunguza dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC, zamani Tume ya Taifa ya Uchaguzi – NEC) na Mwanasheria…

Read More

Vyama vinavyohamasisha kujiandikisha, Chadema ikiweka ngumu

Dar es Salaam. Vyama mbalimbali vya siasa vimesema vinatumia kila mbinu inayowezekana kuhamasisha wanachama wao wajiandikishe katika daftari la kudumu la mpiga kura, huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikiwa na msimamo tofauti. Msimamo wa Chadema, kwa mujibu wa Katibu Mkuu wake, John Mnyika, ni ajenda ya ‘No Reform, No Election’ (hakuna mageuzi, hakuna…

Read More

Kinachofuata baada ya Mchungaji Mashimo kutupwa jela 

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Mchungaji Daud Nkuba, maarufu Komando Mashimo, kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na kulipa fidia ya Sh5 milioni, ameamua kukata rufaa Mahakama Kuu ya Dar es Salaam kupinga huku hiyo. Mchungaji Komando Mashimo alihukumiwa adhabu hiyo jana Jumanne, Machi 18, 2025 katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, baada…

Read More

Askofu Rweyongeza atema nyongo kwenye jubilei

Mwanza. Kanisa Katoliki limeitaka Serikali kuheshimu fani  ya ualimu na kurejesha hadhi yake ikiwamo walimu kulipwa mshahara unaolingana na wabunge na mawaziri au zaidi pamoja na kuwaondolea kikokotoo. Akizungumza leo Jumatano Machi 19, 2025 kwenye Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu wa Askofu Methodius Kilaini na miaka 53 ya upadri iliyofanyika Bukoba mkoani Kagera, Askofu …

Read More

Chadema yaanza siku 48 za ‘No Reform No Election’

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetangaza kuanza kampeni yake ya No Reform No Election’ kwa kufanya mikutano ya nchi nzima, ikiwa ni siku moja baada kueleza dhana hiyo kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa. Lengo la kampeni hiyo ni kupeleka elimu kwa wananchi ya kuishinikiza Serikali kufanya mabadiliko ya…

Read More

KAMATI YARIDHISHWA NA MRADI WA TAZA

  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa Mradi wa Umeme wa Tanzania na Zambia (TAZA) unaohusisha njia ya kusafirisha umeme wa Msongo wa Kilovolti 400 pamoja na Vituo 5 vya kupoza umeme kikiwamo kituo cha Kisada.Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeeleza kuridhishwa…

Read More

Kaseja hesabu kali dhidi ya Tabora United

WAKATI Ligi Kuu imesimama kupisha kalenda ya FIFA kwa mechi za kimataifa ambapo Taifa Stars itashuka uwanjani Machi 26 kucheza na Morocco katika mchezo wa kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Dunia 2026, kocha wa Kagera Sugar, Juma Kaseja ameanza hesabu kali kuiwinda Tabora United katika mechi ya 16 Bora ya michuano ya…

Read More