Vipaumbele vinne vya Profesa Janabi WHO

Dar es Salaam. Mgombea wa Tanzania katika nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohamed Janabi, ameainisha vipaumbele vinne atakavyovitekeleza iwapo atachaguliwa kushika wadhifa huo.  Profesa Janabi ambaye ni daktari bingwa wa magonjwa ya moyo, amekuwa na mchango mkubwa katika kuboresha sekta ya afya nchini na duniani. Amehudumu kwa…

Read More

Wakazi Handeni kuneemeka mradi wa maji

Dar es Salaam. Takriban wakazi zaidi ya 4,000 wa  Kijiji cha Kwedizinga na maeneo ya jirani ya wilayani Handeni, Mkoa wa Tanga wanatarajia kunufaika na mradi wa maji safi ikiwa ni baada ya kuteseka kwa muda mrefu bila ya kupata huduma hiyo. Hivi sasa, wakazi hao wanategemea mabwawa na mito ya msimu, hali inayosababisha ongezeko…

Read More

Kaseja hesabu kali dhidi ya Tabora Utd

WAKATI Ligi Kuu imesimama kupisha kalenda ya FIFA kwa mechi za kimataifa ambapo Taifa Stars itashuka uwanjani Machi 26 kucheza na Morocco katika mchezo wa kuwania kufuzu ushiriki wa fainali za Kombe la Dunia 2026, kocha wa Kagera Sugar, Juma Kaseja ameanza hesabu kali kuiwinda Tabora United katika mechi ya 16 Bora ya michuano ya…

Read More

Vyombo vya habari vya Haiti vinapambana kuishi wakati wa mashambulio, kuporomoka kwa mapato – maswala ya ulimwengu

Taifa la Kisiwa cha Karibi linakabiliwa na misiba ya kibinadamu, kiuchumi na kisiasa kwa kuongezea sheria na utaratibu. Katika wiki iliyopita, nyumba tatu za media zililenga, kwa kile kinachoonekana kuwa mabadiliko ya mbinu za genge ili kuwatenga idadi ya watu. Habari za UN Aliuliza Frantz Duval, mhariri wa gazeti la Le Nouvelliste, Hervé Lerouge, Mkurugenzi…

Read More

Ghorofa mbili stendi ya Magufuli ziko tupu kwa miaka minne

Ikiwa imetimiza siku 1,087 tangu Stendi ya Magufuli kuanza kutumika, eneo la chini stendi hiyo lenye ghorofa mbili halijawahi kutumika, uchunguzi wa Mwananchi umebaini. Hata hivyo, kuna baadhi maeneo ya stendi hiyo yamepangishwa kwa ajili ya ofisi mbalimbali, zikiwamo za wasimamizi wa kituo, Polisi, Uhamiaji, Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), sehemu ya…

Read More