
TANZANIA YAJIPANGA NA MAAMUZI YA RAIS TRUMP KUHUSU ARV
BOHARI ya Dawa (MSD), imesema kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika. Mapema mwaka huu, mara baada ya kuapishwa Rais Trump alitangaza kusitisha misaada yote iliyokuwa ikitolewa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ikiwamo…