Udom wabuni mfumo kudhibiti madalali wa bei za mazao

Dodoma. Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) kimeanzisha mfumo wa kisasa wa kurahisisha mnyororo wa ugavi wa mazao kutoka kwa wakulima hadi sokoni kwa kutumia teknolojia ya mtandao (blockchain), utakaosaidia kudhibiti madadali. Mfumo huu unalenga kuondoa changamoto ya soko, ambapo wakulima wamekuwa wakikumbwa na matatizo ya ukosefu wa taarifa sahihi za masoko, bei za mazao kubadilika…

Read More

Mayanga afuata nyayo za Medo, Josiah

UONGOZI wa Mashujaa, upo hatua za mwisho za kumtangaza aliyekuwa kocha wa Mbeya City, Salum Mayanga ili kurithi mikoba ya Abdallah Mohamed ‘Baresi’, aliyetimuliwa Februari 26 mwaka huu kutokana na mwenendo mbaya timu hiyo katika Ligi Kuu Bara. Mayanga anakuwa kocha wa tatu msimu huu kutoka Ligi ya Championship kuhamia Ligi Kuu, baada ya awali…

Read More

Mgodi wa Bulyanhulu mguu sawa kuukabili Ukimwi.

-Wapokea ushauri wa Kamati ya Bunge ya Afya Na Mwandishi wetu, Kahama. UONGOZI wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu uliopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga umeihakikishia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi kwamba mbali na kushiriki kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ya afya, pia itaelekeza nguvu katika kusaidia jamii…

Read More

Tanzania yajipanga na maamuzi ya Trump kuhusu ARV

Bohari ya Dawa (MSD), imesema kuwa Serikali imejipanga kukabiliana na changamoto zozote zitakazojitokeza kutokana na uamuzi wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump kusitisha misaada ya kwa nchi za Afrika. Mapema mwaka huu, mara baada ya kuapishwa Rais Trump alitangaza kusitisha misaada yote iliyokuwa ikitolewa na Shirika la Misaada la Marekani (USAID) ikiwamo ugawaji…

Read More

Mashindano ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy 2025’ Yazinduliwa Rasmi, Benki ya NBC Yaridhishwa Kasi ya Uibuaji Vipaji Mchezo wa Gofu

Mashindano ya Gofu ya ‘NBC Waitara Trophy’ msimu wa mwaka 2025 yamezinduliwa rasmi leo jijini Dar es Salaam huku mdhamini Mkuu wa mashindano hayo Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kushirikiana na wadau wa mchezo huo hususani katika kuibua vipaji vipya vya mchezo huo. Hafla ya uzinduzi wa mashindani hayo…

Read More