Chuo Kikuu Ardhi chapata mwarobaini uhaba wa madarasa

Dar es Salaam. Moja ya kikwazo ambacho Chuo Kikuu Ardhi (ARU) jijini hapa, kinakumbana nacho cha upungufu wa madarasa, kinakwenda kupata ufumbuzi ifikapo Agosti 2025, yatakapokamilika majengo mapya yanayoendelea kujengwa chuoni hapo. Kwa muda mrefu, Chuo Kikuu Ardhi, kama vilivyo vyuo vingine, kimekuwa kikikabiliwa na uhaba wa madarasa, jambo linalosababisha kushindwa kudahili wanafunzi wengi zaidi….

Read More

‘Vumbi barabara za Kigoma imebaki historia’

Kigoma. ’Vumbi sasa basi.’ Ni kauli ya matumaini kwa wananchi wa Kigoma, wakielezea adha waliyokuwa wakipitia kabla ya ujenzi wa barabara ya Kabingo- Kasulu- Manyovu. Ujenzi wa barabara hiyo ambayo ipo kwenye ushoroba wa kimataifa wa Magharibi unaounganisha pia nchi za Burundi, Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo umefikia asilimia 83. Ujenzi wake umegawanywa…

Read More

POLISI WATAKIWA KUCHUKUA HATUA KWA WANAOJIHUSISHA NA VITENDO VYA UKATILI WA KIJINSIA

Askari Polisi nchini wametakiwa kuendelea kuchukua hatua kwa watu wanaojihusisha na vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji dhidi ya watoto ili kudhibiti vitendo hivyo ambavyo vimekuwa vikijitokeza mara kwa mara kwenye jamii. Rai hiyo imetolewa na Mratibu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Faidha Suleiman akiwa na Mkaguzi Msaidizi…

Read More

Mayanga awavuruga Mbeya City akitajwa kuibukia Mashujaa

Tetesi za kuondoka kwa Kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga zimeonekana kuwashtua vigogo wa timu hiyo wakieleza kuwa bado hawajapata taarifa rasmi, huku wakitoa msimamo mzito. Mayanga alijiunga na Mbeya City msimu uliopita, kwa sasa ameonekana kuwa na mafanikio makubwa katika kufikia malengo ya timu hiyo kurejea Ligi Kuu Bara huku akitajwa kufikia makubaliano…

Read More