
Tshisekedi, Kagame uso kwa uso Qatar, wakubaliana haya
Doha. Baada ya kutoleana maneno makali kupitia vyombo vya habari na wawakilishi hao, hatimaye mahasimu wawili, Rais wa Jamhuri wa Kidemokrasia ya Congo (DRC), Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame wamekutana ana kwa nama jijini Doha nchini Qatar. Mkutano huo unafanyika wakati kukiwa na hali ya hatari kutokana na mapigano yanayoendelea Mashariki mwa…