
Katibu wa CCM Rombo afariki dunia akipatiwa matibabu
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Huruma. Taarifa za kifo chake zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo zikieleza kuwa Katibu huyo amefariki muda mfupi baada ya kutoka kwenye chumba cha upasuaji kwenye Hospitali…