
Mayanga atua Mashujaa, arithi viatu vya Bares
BAADA ya tetesi nyingi juu ya kuajiriwa na Mashujaa kwa aliyekuwa kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga ili kuchukua mikoba ya Mohammed Abdallah ‘Bares’ sasa ni rasmi uongozi wa timu hiyo umemalizana naye. Mayanga alikuwa miongoni mwa makocha waliokuwa wakifukuziwa na uongozi wa Mashujaa kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Bares na sasa ni…