KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YAHITIMISHA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA UMEME MKOANI NJOMBE

18 Machi,2026, Njombe KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekamilisha ziara yake ya siku tatu mkoani Njombe kwa kukagua utekelezaji wa miradi ya Nishati Vijijini (REA) inayotekelezwa na serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Kwa upande wa REA ziara hiyo imehitimishwa katika kijiji…

Read More

BARRICK KUENDELEZA JITIHADA ZA KUKUZA MASOMO YA HISABATI NA MASOMO YA SAYANSI NCHINI

Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na teknolojia ya Karume (KIST), Dkt. Mohammed Abdulwahab Alawi akiwasikiliza wanafunzi wa Shule ya Sekondari Tumekuja wakati alipotembelea maonesho katika maadhimisho ya sita ya siku ya hisabati Duniani, yaliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michenzani Zanzibar. Wanafunzi kutoka shule za msingi na sekondari Visiwani wakiwa kwenye maandamano ya katika maadhimisho…

Read More

Mchungaji Mashimo jela miaka miwili, sababu yatajwa

Dar es Salaam. Mchungaji Daud Nkuba, maarufu Komando Mashimo, amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia katika makosa mawili, kuingia kijinai katika ardhi isiyo yake na kuharibu mali. Katika hukumu hiyo Komando Mashimo pia ameamriwa kulipa fidia ya Sh5 milioni. Komando Mashimo amehukumiwa kutumikia adhabu hiyo na Mahakama ya Wilaya ya…

Read More

MVTTC YAISAIDIA SHULE KONGWE YA UFUNDI MSAMVU

   CHUO cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro,MVTTC, wameamua kuisaidia shule kongwe ya Ufundi ya Msamvu yenye wanafunzi wenye mahitaji maalum kukarabati karakana ya fani ya chuma na uchomeleaji ambayo Kwa muda mrefu ilikuwa chakavu sana sambamba na kurekebisha mfumo wa Umeme katika karakana hiyo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka…

Read More

Dereva, mameneja matatani wizi wa mafuta na kuchoma lori

Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamtafuta Abubakari Mwichangwe, dereva wa lori la kusafirisha mafuta, mkazi wa Dar es Salaam anayetuhumiwa kula njama ya kuiba mafuta na kuchoma moto lori hilo ili kupoteza ushahidi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama akizungumza na Mwananchi amesema tukio hilo lilitokea usiku wa Machi 16, 2025….

Read More

Chadema, Msajili wa vyama vya siasa ngoma nzito

Dar es Salaam. Ngoma nzito kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Ndivyo unavyoweza kueleza baada ya mazungumzo baina ya pande mbili yaliyochukua takribani saa nne kuhusu kaulimbiu ya chama hicho. Kikao hicho kimefanyika leo Jumanne Machi 18, 2025 katika ofisi ya Msajili wa Vyama vya…

Read More

BDL sasa kufanyika Aprili | Mwanaspoti

Kamishina wa ufundi na mashindano wa Ligi ya kikapu mkoa wa Dar es Salam (BDL), Haleluya Kavalambi amesema ligi hiyo inatarajiwa   kuanza mwezi Aprili na tarehe kamili itatangazwa  baada ya kikao cha kwanza  cha BD  na klabu kufanyika.  “Kikao hicho kitazungumzia mapitio ya kanuni  na kuzipitisha, ambazo ndizo zitakazoongoza na kusimamia msimu wa Ligi  ya…

Read More

Mastaa wafunika Ramadhani Star Ligi

Wachezaji watatu, Fotius Ngaiza, Omary Sadiki na Jimmy Brown walikuwa kivutio, katika mashindano ya Ramadhani Star Ligi kutokana na uwezo wao. Ngaiza anayecheza nafasi ya namba 5 ‘Centre’,  aliyechezea Soud Black  na alionyesha uwezo mkubwa wa kudaka mipira yote ya ‘rebound’ na kufunga. Katika mchezo huo na Team Mkosa aliongoza kwa kudaka mipira ya ‘rebound’ …

Read More