Kuimarisha watu asilia na maarifa ya jamii na ufikiaji hufungua fursa za hali ya hewa, bianuwai na hatua ya jangwa

Michael Stanley-Jones Maoni na Michael Stanley-Jones (Richmond Hill, Ontario, Canada) Jumanne, Machi 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari RICHMOND HILL, Ontario, Canada, Mar 25 (IPS) – Jukumu kuu la watu asilia na jamii za mitaa katika kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa, upotezaji wa biolojia na jangwa umepata kutambuliwa katika muongo mmoja uliopita. Utegemezi…

Read More

Wasira aonya wanaotaka ubunge kwa rushwa CCM

Ngara. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) -Bara, Stephen Wasira, amesema ana taarifa za baadhi ya wanachama wanaotaka ubunge kuanza kuvunja maadili katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu. Hivyo, amewakumbusha wanaotaka ubunge na wabunge waliopo madarakani kuzingatia maadili, huku akitoa rai kwa wajumbe wa CCM, ambao watapiga kura kuchagua mgombea mmoja kati ya…

Read More

MADIWANI WA ARUSHA WAKATAA KUGAWA JIMBO LA ARUSHA MJINI

Na Pamela Mollel,Arusha MADIWANI wa Halmashauri ya jiji la Arusha wakubaliana kwa pamoja kutogawa jimbo la Arusha mjini mara mbili, badala yake wamekubaliana kugawanywa kwa kata nane za jiji hilo. Taarifaa hizi zinakuja wakati mwafaka kuelekea uchaguzi mkuu ambapo hivi karibu zimekuwepo kwa taarifa zisizorasmi zikidai jimbo hili kugawanywa mara mbili kutoka na ukubwa wake…

Read More

Kocha Azam akomaa na mastaa wake

KOCHA wa Azam FC Rachid Taoussi, amesema timu yake inapitia kipindi kigumu na bado wana nafasi ya  kurudisha utulivu ili kupata matokeo mazuri. Kikosi hicho ambacho kinashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi, kimeingia mapumziko ya kupisha mechi za timu za Taifa ambazo zinacheza michezo ya kutafuta kufuzu Kombe la Dunia . Lakini rekodi…

Read More

Mlipuko kiwanda cha TOL Mbeya wasababisha hasara

Mbeya. Mlipuko ulitokea kwenye mtambo ya kaboni katika kiwanda cha gesi cha Tanzania Oxygen Ltd (TOL) kilichopo kwenye wilayani Rungwe, mkoani hapa umesababisha uharibifu mkubwa wa kiwanda hicho na miundombinu inayozunguka. Hata hivyo, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Daniel Warungu, amewahakikishia umma kuwa hakuna vifo wala majeraha makubwa yaliyotokea wakati wa tukio hilo na kwamba shughuli…

Read More