
Haikuwa na kipengele! Yanga Princess yaipiga Simba Queens
YANGA Princess imemaliza ubabe wa Simba Queens baada ya kuichapa bao 1-0 kwenye mchezo mkali wa Ligi Kuu ya Wanawake uliopigwa leo Machi 19, 2025 kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar. Kabla mchezo huu, Simba Queens ambao wanaendelea kuwa kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo, walikuwa hawajapoteza mchezo wowote msimu huu kati ya 12 waliyocheza….