
Rekodi za Bocco Azam FC zinaishi
REKODI alizoacha John Bocco pale Azam FC, zimemfanya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Thabit Zakaria ‘Zaka Zakazi’, kumtaja kuwa ndiye mchezaji bora wa muda wote ndani ya kikosi hicho. Bocco ambaye aliichezea Azam kwa kipindi cha miaka 10 kuanzia 2007 ilipokuwa Ligi Daraja la Kwanza kisha kuipandisha Ligi Kuu Bara 2008 na…