Dosari za kisheria zawanusuru waliohukumiwa kunyongwa

Arusha. Mahakama ya Rufani imebatilisha mwenendo wa kesi na kufuta hukumu ya adhabu ya  kunyongwa hadi kufa waliyokuwa wamehukumiwa wakazi watatu wa Bukoba mkoani Kagera, baada ya kubaini kasoro za kisheria katika mwenendo wa kesi hiyo. Badala yake Mahakama hiyo imeamuru kesi hiyo isikilizwe upya mbele ya Jaji wa Mahakama Kuu. Mahakama imefikia uamuzi huo…

Read More

Sababu wanaume kuwa kinara wa mapishi hotelini

Mwanza. Yawezekana mara kadhaa umetembelea hoteli kubwa ndani na hata nje ya nchi na kukutana na wapishi wanaume. Je, ulishawahi kujiuliza kwa nini wapishi wakuu kwenye hoteli kubwa wengi wao ni wanaume? Hata kwenye makundi ya kijamii ya wanawake wanaofanya kazi ya kupika kwenye shughuli mbalimbali ni lazima utakuta wamo wanaume miongoni mwao. Tovuti maarufu…

Read More

Sowah, Yanga kumekucha, mambo yapo hivi

SINGIDA Black Stars inachekelea usajili wa kumshusha nchini mshambuliaji Jonathan Sowah, lakini wakubwa wamemuona ikiwemo Yanga na hesabu mpya ni kwamba imemuachia msala kocha wa timu hiyo, Miloud Hamdi kufanya uamuzi ili mabosi wa klabu wamalize kazi. Yanga imeshawishika na nguvu ya Sowah akiwa ameingia Tanzania kupitia usajili wa dirisha dogo ambapo amecheza mechi saba…

Read More

Mpanzu, Kibu wampa mzuka Fadlu

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mkakati wake wa kiufundi katika safu ya ushambuliaji akisisitiza umuhimu wa kubadilishana nafasi kwa wachezaji wa mbele ikiwemo Elie Mpanzu, Kibu Denis na Charles Jean Ahoua ili kuzalisha mashambulizi ya aina tofauti.  Kocha huyo raia wa Afrika Kusini ambaye anachanga karata zake kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa…

Read More

Che Malone atuliza presha Simba

BENCHI la ufundi la Simba linazidi kukuna kichwa juu ya jereha linalomsumbua beki wa kati, Fondoh Che Malone aliyepelekwa Morocco kwa ajili ya kufanyiwa matibabu kwa lengo la kuwahi mapema kabla ya timu kukabiliana na ratiba ngumu kuanzia mwezi ujao hadi Mei. Simba iliyopo nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara na hatua…

Read More

Okwi akubali yaishe Uganda, Aucho kubeba mikoba

Baada ya kuitumikia timu ya taifa ya Uganda ‘The Cranes’ kwa zaidi ya miaka 15, nyota wa zamani wa Simba, Emmanuel Okwi ametangaza rasmi kustaafu kuitumikia timu hiyo. Okwi mwenye umri wa miaka 32 ambaye kwa sasa anaichezea Kiyovu SC ya Rwanda, ametangaza uamuzi huo wa kustaafu leo, Machi 18, 2025kupitia taarifa aliyoiweka katika kurasa…

Read More