Madini ya Bati fursa zipo nyingi njooni – Mkopi

· Hutumika kwenye mifumo ya kielektroniki ya simu, ndege, vyuma vya reli · Yaleta ukombozi kwa wananchi Kyerwa KAGERA MADINI ya Bati (Tin) yameendelea kuwa na mchango kwenye maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini mkoani Kagera huku watanzania wakitakiwa kuchangamkia fursa za uchimbaji wa madini hayo. Akizungumza katika mahojiano maalum, Kaimu Afisa Madini Mkazi…

Read More

WAZIRI SIMBACHAWENE,VIONGOZI TASAF WAENDELEA NA ZIARA YA KIMAFUNZO NCHINI AFRIKA KUSINI KUHUSU UTEKELEZAJI MIRADI

Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora George Simbachawene ameongoza ujumbe wa viongozi waandamizi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa mfuko huo Shadrack Mziray katika ziara ya kimafunzo nchini Afrika ya Kusini. Lengo la ziara hiyo ni kujifunza kuhusu namna bora ya…

Read More

KAMATI YA BUNGE YAKAGUA MRADI WA MAZINGIRA KATAVI

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira imewahimiza wasimamizi wa miradi ya kuhifadhi mazingira ngazi ya Halmashauri za Wilaya kuisimamia miradi hiyo kwa ukaribu ili ilete tija kwa wananchi. Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Jackson Kiswaga ametoa maelekezo hayo wakati wa ziara ya kukagua Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya…

Read More

KAWAAMBIENI WALIOWATUMA KAZI YA KUZUIA UCHAGUZI MKUU NI NGUMU KAMA ILIVYOKUWA VIGUMU KUMFUFUA ALIYEKUFA-WASIRA

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Stephen Wasira amesisitiza kuwa hakuna mtu yoyote ambaye anaweza kuzuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu usifanyike na hao wanaotaka kuuzuia kama wametumwa wawaambia hao waliowatuma kwamba kazi hiyo ni ngumu na haitawezekana. Akizungumza na wananchi wa Mbeya Mjini leo Machi 17,2025 katika mkutano wa hadhara, Wasira ametumia nafasi…

Read More

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE LA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) YATOA AGIZO KWA MANISPAA YA IRINGA

NA DENIS MLOWE, IRINGA. KAMATI ya Kudumu ya Bunge la Hesabu za Serikali za Mitaa imeiagiza Halmashauri ya Manispaa ya Iringa kuhakikisha wanakamilisha mradi wa machinjio ya Ngelewala ifakapo Disemba 30 2027 na kukabidhi ripoti kwa mkaguzi wa hesabu za serikali CAG. Aidha, kamati hiyo imeiagiza halmashuri hiyo kutoa taarifa inayojitosheleza ambayo itaeleza kwa kina…

Read More

Watoto wetu wanavyoangamia kwenye dunia ya dijitali

Mijadala ya hivi karibuni imechochea mazungumzo ya dharura, huku wadau wakiishinikiza Serikali kuweka udhibiti mkali wa matumizi ya simu kwa watoto ili kuwalinda dhidi ya unyanyasaji wa kingono na ukatili wa mtandaoni. Teaser: Kitendo cha kumpa mtoto simu kinaonekana kama ishara ya uaminifu. Lakini katika kubadilishana huku, udhaifu mpya huibuka, ambapo ufikiaji wa mtandao bila…

Read More