
RAIS SAMIA AMEFANYA MAKUBWA KATIKA MIAKA MINNE YA UONGOZI WAKE-WASIRA
Na Said Mwishehe, Mbeya MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Tanzania Bara amesema Rais Dk.Samia Suluhu Hassan kupitia kauli mbiu yake ya kazi iendelee ametekeleza miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo iliyoachwa na mtangulizi wake Hayati Dk.John Magufuli aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano. Wasira amesema kuwa Dk.Magufuli alikuwa na kauli mbiu ya Hapa Kazi Tu…