
SISTERS IN IMAN WACHANGISHA FEDHA KWA AJILI YA WATU WENYE UHITAJI
MATAASISI Na Mashirika dini ya Kiislam yametakiwa kuwapa vipaumbele Vijana Wa Kiislam katika Safari za Kuwadhamini katika safari ya ibada ya Ummra. Akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam Waziri Wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu( Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete Wakati wa Iftara Gala iliyoandaliwa na Taasisi ya “Sisters in Iman” Jijini Dar…