
Kimenya, Elfadhili warejeshwa Prisons | Mwanaspoti
WACHEZAJI wakongwe wa Tanzania Prisons waliokuwa wamepangiwa majukumu mengine nje ya timu, Jumanne Elfadhili na Salum Kimenya wamerejeshwa na wameshajiunga na wenzao kambini ili kuongeza nguvu katika vita ya kuepuka kushuka Ligi Kuu. Nyota hao sambamba na Jeremiah Juma walidaiwa kuondolewa dirisha dogo kabla ya mambo kwenda mrama na kocha kuwataka, lakini ni Jeremiah aliyekuwa…