Suka Jamvi Lako na Meridianbet Leo

KAMA kawaida mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 zinaendelea leo huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua mshiko wa maana ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa. Tukianza na Kundi C, Benin atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya South Africa ambapo timu hizi mbili zinafatana kwenye msimamo wa kundi…

Read More

JKT Morogoro kugawa chakula kwenye vikosi vingine

Morogoro. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kikosi 837 KJ Chita mkoani Morogoro wameanzisha skimu ya umwagiliaji lengo ni kuepuka kilimo cha kutegemea mvua ambazo wakati mwingine hazitabiriki. Hayo yamesemwa na Mkuu wa JKT Meja General Rajabu Mabele, leo Jumanne Machi 25,2025 alipotembelea kikosi hicho kinachofanya kilimo cha kimkakati kwa mazao ya mpunga na ufugaji wa…

Read More

NI VYEMA SHERIA YA HUDUMA YA HABARI ZANZIBAR IKAPITISHWA KABLA YA UCHAGUZI MKUU UJAO.

Na Masanja Mabula, PEMBA. BARAZA la Wawakilishi Zanzibar ndio chombo chenye mamlaka ya kutunga na kuzirekebisha sheria ambazo zinaonekana kupitwa na wakati pamoja na zile kandamizi zinazonyima uhuru wa baadhi ya makundi.  Zipo sheria ambazo Baraza la Wawakilishi limetunga ambazo zinakwaza uhuru wa Habari na uhuru wa kujieleza kama Kifungu cha 30 kinachompa mamlaka makubwa…

Read More

Kwenye hili dunia inawaonea sana wasanii

Dar es Salaam. Nimewahi kukutana na washkaji ambao walifanya makosa makubwa sana kwenye maisha yao, makosa ambayo yaliwagharimu kila kitu walichokuwa nacho, walipoteza kazi, pesa, familia, upendo, heshima na kila kitu. Lakini baada ya muda, walipambana na kurudi kwenye nafasi zao za zamani na kurudisha kila kitu walichopoteza. Familia zao zilirudi, kazi zilirudi, pesa zilirudi…

Read More

Mbegu za kuishi, huku kukiwa na migogoro Sudan inaokoa mustakabali wake wa kilimo – maswala ya ulimwengu

Kuandaa ukusanyaji wa mbegu za Sudan kwa uhifadhi kupitia bioanuwai kwa fursa, maisha, na mradi wa maendeleo (BOLD). Mikopo: Paul safi/ujasiri na Cecilia Russell (bulawayo) Jumanne, Machi 25, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BULAWAYO, Mar 25 (IPS) – Mazao anuwai ya Sudan na urithi wa kilimo uko katika hatari ya kupotea. Mzozo unaoendelea nchini…

Read More

Sanaa ya Marekani inavyowateka watu kwa namba 911 

Dar es Salaam. Usishangae ukichukua Watanzania 10 ambao hawajahi kufika Marekani hata siku moja, ukawaambia wakutajie namba ya simu ya dharura ya kupiga ukiwa Marekani, nane kati yao wakakwambia ni 911. Na Watanzania hao hao ukawaomba wakutajie namba ya dharura ya Polisi ya Tanzania wakashindwa kukwambia kuwa ni 112. Lakini vipi nikikwambia watanzania wengi ambao…

Read More

Marekani yamvaa Hesgeth, yadai kavujisha siri ya uvamizi

Washington. Serikali ya Rais wa Marekani, Donald Trump imethibitisha kuwa Mwandishi na Mhariri wa jarida la ‘The Atlantic’ alijumuishwa kwenye taarifa za siri zilizovuja katika mitandao ya kijamii kuhusu mpango wa mashambulizi dhidi ya kundi la waasi wa Kihouthi wa nchini Yemen. Jumatatu, The Atlantic ilichapisha makala ya Mhariri Mkuu wake, Jeffrey Goldberg iliyoeleza mshtuko…

Read More