
KATIBU TAWALA UBUNGO: MALALAMIKO YA KODI KWA SASA YAMEPUNGUA
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Bw. Hassan Mkwawa amesema kuwa, kwa sasa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanya juhudi kubwa za kutatua changamoto nyingi za Walipakodi jambo ambalo limepelekea kupungua kwa malalamiko ya kodi. Bw. Mkwawa ameyasema hayo leo 17 Machi, 2025 katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo…