
Dar waanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura
Na. Mwandishi Wetu . Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaa wameanza Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambapo wananchi wengi walionekana kwa wingi vituoni kujiandikisha au kuboresha taarifa zao. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Machi 17, 2025 baada ya kutembelea vituo vya Uboreshaji, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi,…