
Mke, wanawe watoweka kipigo chatajwa chanzo
Dar es Salaam. Mama na wanawe wawili wamekimbia katika nyumba waliyokuwa wakiishi na mumewe, Yangeyange Kata ya Msongola wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam. Ni mama anayefahamika kwa jina la Faraja Ng’andu (32) na mke wa John Mtulya, ambaye ugomvi, kipigo na kufungiwa ndani na mumewe ilikuwa sehemu ya maisha kabla ya kutoweka kwake. Juhudi…