
Si mchezo, huku zimepigwa hat trick 12
WAKATI katika Ligi Kuu Bara zimepigwa hat trick tatu tu hadi sasa kupitia mechi 181, huku kwenye Ligi Kuu ya Wanawake (WPL), kama hujui zimepigwa jumla 12, huku nyota wa JKT Queens, Stumai Abdallah akifunika kwa kupiga nne peke yake hadi sasa. Hadi sasa katika ligi hiyo ya wanawake zimeshachezwa mechi za raundi 12, huku…