
Upepo wa ubingwa Bara, mtego upo hapa!
UPEPO umebadilika. Upepo wa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara umebadilika baada ya timu kadhaa zilizokuwa zikichuana na vigogo Simba na Yanga kujichuja zenyewe njiani. Azam FC, Singida Black Stars na hata Tabora United zilizokuwa zikichuana na vigogo hivyo, kimahesabu ni kama zimekubali yaishe na mziki sasa umebaki kwa vigogo Simba na Yanga. Hata…