
Wasira awapa mbinu vijana uchaguzi mkuu 2025
Ileje. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema pazia la Uchaguzi Mkuu 2025, likifunguliwa vijana wanaojiona wanasifa wajitokeze kwenye kinyang’anyiro kugombea nafasi ya udiwani na ubunge bila kuwahofia watakaokuwa wanatetea. Kimesema hakuna mwenye haki miliki ya kushikilia nafasi hizo kwa miaka mitano, isipokuwa leseni zinapatikana kupitia kinyang’anyiro cha kushawishi wananchi na mwenye nguvu ya kushawishi wanapata ridhaa….