
Shule yafungwa baada ya kutitia, wanafunzi wahamia shule jirani
Geita. Wanafunzi 1,969 kutoka shule mbili za Igwamanoni na Kakoyoyo zilizopo Kata ya Bulega wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita, wanalazimika kusoma kwa kupokezana katika Shule ya Msingi Igwamanoni kutokana na hali mbaya ya madarasa ya shule ya Kakoyoyo. Vyumba vya madarasa vya Kakoyoyo vimeonekana kutitia na kupata nyufa, hali inayotishia usalama wa wanafunzi. Shule ya…