JUMUIYA YA WAZAZI :CCM TUNAKIU YA UCHAGUZI,

Na Seif Mangwangi, Arusha UMOJA wa Wazazi Tanzania wa Jumuiya ya Chama cha Mapinduzi (CCM), umesema wanachama wa Jumuiya hiyo wanakiu ya uchaguzi na wako tayari kuingia kwenye uchaguzi wakati wowote licha ya kusikia kuna baadhi ya vyama vya siasa vinataka kugomea uchaguzi Mkuu ujao. Aidha Jumuiya hiyo imeandaa kongamano kubwa la kimataifa litakaloainisha mafanikio…

Read More

Wachimbaji wadogo waishukuru Serikali – MICHUZI BLOG

– Wapewa maarifa ya uchimbaji, vifaa– Wajenga shule, maabara ya kisasa MBOGWE WACHIMBAJI wadogo wa madini wilayani Nyang’wale wameishukuru Serikali kwa kutengeneza mazingira mazuri kwa wawekezaji ambao wanatoa msaada wa kiufundi ambapo elimu ya uchimbaji na vifaa vimetolewa kwa wachimbaji hao. Lengo ni kuwatoa kwenye uchimbaji mdogo na kuwa uchimbaji wa kati na baadaye mkubwa….

Read More

VIONGOZI ACHENI KUWAKATISHA TAMAA WANAWAKE- DKT. TULIA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa upo umuhimu wa Viongozi waliopo madarakani kuacha kutoa hadithi za kusikitisha na kukatisha tamaa kwa wanawake na wasichana wanaopambania kesho yao iliyo nzuri kwenye Uongozi na badala yake kujiona wao ni sehemu…

Read More

‘Tutoe taarifa za vitendo vya ukatili’

Arusha. Ili kutokomeza vitendo vya kikatili dhidi ya wanawake na watoto nchini, jamii imetakiwa kutoa taarifa za matukio hayo ili hatua za kisheria zichukuliwe. Hayo yamesemwa leo Jumapili Machi 16,2025 na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu, Mwanaidi Ali Khamis wakati akizungumza wilayani Arumeru katika ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji…

Read More

Haya ndio yanayojitokeza vituo vya uandikishaji wapigakura Zanzibar

Unguja. Licha ya awamu ya pili ya uandikishaji wapigakura kulenga wananchi ambao wamefikisha umri na hawakuwahi kuandikishwa, imebainika wananchi wengi wanakwenda kwenye vituo vya uandikishaji kubadilisha taarifa zao. Mbali na kutaka kuhamisha taarifa zao, pia wengine wanakwenda na kopi ya kitambulisho jambo ambalo halikubaliki bali wanatakiwa kuwa na kitambulisho halisi cha Mzanzibari mkaazi. Makamu Mwenyekiti…

Read More

Wananchi wanavyojipanga kibiashara Daraja la Pangani

Tanga. Wananchi wa Pangani wameanza kupiga hesabu za kibiashara baada ya kukamilika kwa Daraja la Pangani linaloiunganisha Barabara ya Tanga- Pangani-Bagamoyo yenye urefu wa kilomita 256. Mwishoni mwa wiki,  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imekagua mradi huo na mingine ya kimkakati mkoani Tanga huku ikitaka kasi ya ujenzi wa daraja iendane na ujenzi…

Read More

Banda aiponza Richard Bay, kisa Sh 360 Milioni

RICHARD Bay ya Afrika Kusini aliyowahi kuichezea Beki Kisiki Mtanzania, Abdi Banda imefungiwa moja kwa moja kusajili wachezaji wa ndani na nje hadi itakapomlipa nyota huyo Milioni 360 za mishahara na usajili. Banda kwa sasa anaitumikia Dodoma Jiji ya Tanzania kwa mkataba wa miezi sita baada ya kuvunja mkataba wake na Baroka FC ya Afrika…

Read More