
KADA WA CCM JUSTINE NYARI ASEMA RAIS DKT SAMIA NI RAIS WA MFANO DUNIANI
– AWATAKA WATAZANIA KUMUOMBEA AFYA NJEMA AWEZE KUFANYA MAKUBWA ZAIDI Na Seif Mangwangi, Arusha ALIYEKUWA kamanda wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM), na kada maarufu wa chama hicho, Justine Nyari amesema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni kiongozi wa mfano dhidi ya Mataifa Duniani na kuwataka watanzania bila kujali itikadi za vyama vyao kumuombea…