
KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MIRADI YA UMEME MKOANI NJOMBE
Njombe, 16 Machi, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. David Mathayo David, imeanza ziara yake mkoani Njombe kwa lengo la kukagua utekelezaji wa miradi ya nishati na madini. Kamati hiyo imepokea taarifa ya utekelezaji wa miradi usambazaji umeme vijijini kutoka kwa Wakala wa Nishati Vijijini (REA)…