
WASIRA APELEKA HABARI NJEMA TUNDUMA KUHUSU UPATIKANAJI WA MAJI,UPANUZI WA BARABARA
Na Said Mwishehe,Tunduma MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amewahakikishia wananchi wa Tunduma Mkoani Songwe kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan iitahakikisha inatatua changamoto ya uhaba wa maji katika eneo hilo na Mkoa kwa ujumla. Amesema katika kutatua changamoto ya maji Machi 20 mwaka huu Waziri wa Maji Jumaa Aweso na…