
Wakulima wataka kushirikishwa maandalizi ya bajeti
Dodoma. Serikali imelalamikiwa kutowashirikisha wakulima kwenye maandalizi ya bajeti zake kuanzia ngazi ya chini na badala yake wanapeleka maendeleo kwa maagizo. Wawakilishi wa wakulima kutoka Wilaya za Chamwino (Dodoma) na Halmashauri ya Singida wametoa kauli hiyo leo Jumamosi Machi 15, 2025 wakati wa mafunzo ya ushirikishwaji wa maandalizi ya bajeti na hasa zinazogusa sekta ya…