
FA yampa mzuka Mcameroon | Mwanaspoti
BAADA ya Kagera Sugar kumrejesha aliyekuwa mshambuliaji wake raia wa Cameroon, Moubarack Amza kutoka Namungo, nyota huyo amesema anajisikia furaha katika timu hiyo kutokana na kuanza kufunga mabao. Nyota huyo amerejea baada ya awali kujiunga na Kagera Sugar Januari, mwaka jana, kwa mkopo wa miezi sita akitokea Ihefu ambayo sasa ni Singida Black Stars, kisha…