
TUNASEMA SAMIA MITANO TENA KWASABABU ANAYOYAFANYA WOTE TUNAYAONA-WASIRA
Na Said Mwishehe,Michuzi TV-Songwe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amesema wanaposema Rais Samia Suluhu Hassan MITANO TENA ni kwasababu anayofanya yanaonekana kwa Watanzania… Wasira ameyasema hayo leo Machi 15,2025 wilayani Mbozi mkoani Songwe baada ya kukagua ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe na kushiriki ujenzi pamoja na ujenzi wa…