
Ahukumiwa kifo kwa mauaji ya hawara aliyedai alimvuta nyeti
Mtwara. “Kuna nyakati katika maisha hatima huchukua mkondo usiotarajiwa, ikiacha maumivu na maswali yasiyo na majibu. Rashid Mkumba (shahidi wa kwanza wa Jamhuri) hakuwaza kuwa Aprili 14, 2022 ingekuwa siku ya mwisho kumuona mkewe mpendwa, Mwajuma Lipala (marehemu)” Ndivyo anavyoianza hukumu Jaji Martha Mpaze wa Mahakama Kuu katika kesi ya mauaji namba nane ya mwaka…