Mapigano Mapya katika DR Kongo, Sasisho la Biashara Ulimwenguni, Uchaguzi katika Gari, Pakistan Treni Utekaji nyara – Maswala ya Ulimwenguni

Zaidi ya raia 850,000 wamehamishwa katika mkoa wa Kivu Kusini, karibu nusu ya watoto wao, kulingana na shirika hilo. Wengi wanaishi katika hali ya hatari, makazi katika shule, makanisa au wazi, wanakosa maji safi na usafi wa mazingira, huduma ya afya na elimu. Ukiukaji mkubwa dhidi ya watoto pia umeongezeka sana, pamoja na unyanyasaji wa…

Read More

WASIRA AELEKEZWA JINSI MABILIONI YA RAIS SAMIA YALIVYOPELEKA MAENDELEO SONGWE

*RC Chongolo aanika jinsi bilioni 712.3 zilivyotumika kujenga miradi ya maendeleo Na Said Mwishehe, Michuzi TV-Songwe MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Stephen Wasira amepokea taarifa ya Mkoa wa Songwe ambayo imesheheni lundo la mabilioni ya fedha ambayo yametumika katika miradi ya maendeleo. Wasira ambaye ameanza ziara ya kikazi katika mkoa huo leo Machi 14,2024…

Read More

MHE. WAZIRI RIDHIWANI AZINDUA BODI YA WADHAMINI YA NSSF

  Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete, amezindua Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kuitaka kutekeleza majukumu yake kwa kusimamia sheria, sera, kanuni na miongozo mbalimbali inayotolewa na Serikali. Uzinduzi wa Bodi hiyo umefanyika tarehe…

Read More