
WatendajI Ofisi ya Waziri Mkuu watakiwa kuedelea kuratibu vyema taarifa za utekelezaji wa Serikali kwa manufaa ya Taifa.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Watendaji wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu wamehimizwa kuratibu vyema taarifa za utekelezaji wa Serikali ya Awamu ya Sita na kuzisemea kazi hizo kwa wananchi ilia wapate uelewa wa uhakika wa miradi ya maendeleo iliyofanywa na Serikali katika maeneo yao. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi…