
Mchange ahojiwa na Takukuru kwa tuhuma za ‘kujipitisha Kigamboni’
Dar es Salaam. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Wilaya ya Kigamboni, imemuhoji mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Habibu Mchange kwa tuhuma za kutaka kutoa rushwa kwa baadhi ya viongozi wa chama hicho wa kata ya Tungi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtoa taarifa Mchange ni miongoni mwa wanaotaka kutia nia…