
Walimu Mbeya wapelekwa Dubai ‘kutalii’
Mbeya. Serikali mkoani Mbeya imefanya jambo la kipekee kwa walimu waliosaidia kuboresha kiwango cha ufaulu wa masomo katika shule za msingi na sekondari kwa kuwapeleka Dubai. Walimu hawa watajifunza na pia kupata fursa ya kutalii, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuendelea kuboresha elimu katika mkoa huo. Ahadi hiyo ilitolewa Julai 16 mwaka jana na…