
Ahoua, Kibu wafunika, Simba ikiifyatua Dodoma jiji
TUSIZOEANE. Ni kama onyo kali vile ilichofanya Simba jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji kwa kuweka rekodi ya kibabe huku wakipunguza utofauti wa pointi kati yao na Yanga ambao wanakimbizana nao kwenye vita ya ubingwa. Simba iliyofikisha pointi 57, moja pungufu na ilizonazo Yanga yenye 58 kileleni zote…