
Rombo waanza kuzalisha unga wa ndizi
Rombo. Wakulima wa ndizi, Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wamebuni mbinu mpya ya kujipatia kipato baada ya kuanza kuchakata ndizi na kupata unga wa uji na mtori. Inaelezwa kuwa unga huo huuzwa maeneo mbalimbali nchini na kilo moja huuza kwa hadi Sh10,000. Wakulima hao wameanzisha kiwanda kidogo chenye thamani ya Sh100 milioni katika Kijiji Cha…