
Usichokijua kuhusu kuachia chumba cha gesti saa 4 asubuhi
Dar/Mikoani. Umewahi kujiuliza ni kwa nini nyumba za kulala wageni muda wa kukabidhi chumba ni saa nne asubuhi, usipokabidhi inakuwaje? Ni maswali magumu kuyajibu lakini mepesi kueleweka hasa kwa wanaosafiri kila mara, baadhi wakikabiliana na adha ya kuondolewa vyumbani muda huo unapowadia. Hata hivyo, si wahudumu wala wamiliki wa nyumba hizo wenye majibu sahihi ni…